Aaron Wan-Bissaka
Ni mchezaji wa soka wa nchini kongo
(Elekezwa kutoka Aaron Wan Bissaka)
Aaron Wan-Bissaka (alizaliwa 26 Novemba 1997) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza katIKa klabu Manchester United ya Ligi Kuu ya Uingereza .
Aaron Wan-Bissaka
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Ufalme wa Muungano |
Nchi anayoitumikia | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Uingereza |
Jina katika lugha mama | Aaron Wan-Bissaka |
Jina halisi | Aaron |
Jina la familia | Wan-Bissaka |
Tarehe ya kuzaliwa | 26 Novemba 1997 |
Mahali alipozaliwa | Croydon |
Lugha ya asili | Kiingereza |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | full-back |
Alisoma | Oasis Academy Shirley Park |
Muda wa kazi | 2016 |
Mwanachama wa timu ya michezo | West Ham United F.C. |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 29 |
Ameshiriki | 2017–18 Premier League, 2018–19 Premier League, 2019 UEFA European Under-21 Championship qualification Group 4, 2019 UEFA European Under-21 Championship |
Wan-Bissaka alianza kazi yake na timu Crystal Palace na aliitwa kama Mchezaji bora wa Mwaka wa Klabu hiyo kwa msimu wa 2018-2019. Alisaini mkataba kujiunga na timu ya Manchester United mwezi Juni 2019.
Wan-Bissaka ana asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na alionekana mmoja Wa wachezaji wa timu Kongo chini ya miaka 20 mwaka 2015. Ameshawahi kuiwakilisha nchi yake, kwenye mashindano , chini ya ngazi ya umri wa miaka 21.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aaron Wan-Bissaka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |