Abbas Ali Hassan Mwinyi ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Fuoni kwa miaka 20152020[1]. Ni msomi, rubani wa ndege na nahodha wa meli.

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017