Abdallah Dadi Chikota Nanyamba (amezaliwa 28 Februari 1966) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM, pia ni mwalimu kitaaluma. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Nanyamba (Mtwara Vijijini) kwa miaka 20152020. [1][2]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. https://www.parliament.go.tz/administrations/281