Abdelaziz Ben Tifour
Abdelaziz Ben Tifour (kwa Kiarabu: عبدالعزيز بن طيفور; 25 Julai 1927 - 19 Novemba 1970) alikuwa mchezaji wa soka wa Kifaransa na Algeria ambaye alicheza kama kiungo.
Maisha na Kazi
haririAbdelaziz Alikuwa mwanzilishi wa kandanda ya Algeria akicheza nchini Tunisia na Ufaransa katika miaka ya 40 na 50 na pia alianzisha timu ya kwanza ya taifa ya Algeria na wanaharakati wengine wawili wa FLN wakishirikiana na wachezaji kumi katika kikosi cha Ufaransa cha Kombe la Dunia usiku wa kuamkia fainali nchini Uswidi.[1]
Klabu
hariri- Espérance Sportive de Tunis (1945–1946)
- Club Sportif de Hammam Lif (1946–1948)
- OGC Nice (1948–1954)
- AS Troyes-Savinienne (1954–1956)
- AS Monaco (1956–1958)
- FLN Equipe (1958–1962)
- USMA, Union Sportive de la Medina d'Alger (1962–1963)
Marejeo
hariri- ↑ Abdelaziz Ben Tifour at National-Football-Teams.com
Viungo Vya Nje
hariri- Abdelaziz Ben Tifour kutokea katika (Ufaransa)
- Abdelaziz Ben Tifour kutokea katika (iliyohifadhiwa 2018-10-01) (kwa Kifaransa)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abdelaziz Ben Tifour kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |