Abdi Bashir Indhobuur

Mshairi wa nchini Somalia

Abdi Bashiir Indhobuur alikuwa mtunzi wa nyimbo wa nchini Somalia. [1] Aliandika wimbo unaoitwa Arligeygow, uliotafsiriwa kumaanisha ardhi yangu. [1][2]

Indhobuur alizaliwa huko Gaalkacyo katika eneo la Mudug nchini Somalia .

Kazi hariri

Mnamo 1963, alijiunga na jeshi la polisi, alihamia kabisa katika mji mkuu, Mogadishu, mnamo 1972. Muda mfupi baadae, alijiunga na Heegan, kikundi kinachohusishwa na Jumba la Kuigiza la Kitaifa la Somalia.

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 Abdi, Ali Musa. "I Came for Peace, and I Got a Play." SomaliUK. 5 Nov. 2009. Web. 2 Oct. 2010. <"Archived copy". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-16. Iliwekwa mnamo 2010-10-03. >
  2. "Abdi Bashir Indhobuur | PoetrySoup". PoetrySoup.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-02-26. 
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdi Bashir Indhobuur kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.