Abdul Aziz Mughal, mwana wa nne wa Abdurashid Khan, kulingana na mtaalamu wa historia Ahmad Razi, alikufa kifo cha kawaida akiwa na umri wa miaka kumi na sita. Alikuwa na wana wawili, Qutab Din na Muhammad Haider. Wote wawili walimfuata mjomba wao, Koraish Sultan, na kuhamia India.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Pehchan" by Muhammad Aslam Mughal, Chughtai Mughals of a small village Langrewali, Sialkot
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdul Aziz Mughal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.