Abdullah Shaib Abdallah (amezaliwa 19 Machi 1992) ni mnyanyua vyuma wa kiume kutoka nchini Tanzania, akishindana katika uzito wa kilo 56 na kuiwakilisha nchi yake kwenye mashindano ya kimataifa. Alishiriki katika Michezo ya Jumuiya ya Madola ya 2014 katika hafla ya kilo 56. [1]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdullah Adballah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.