Jumuiya (kwa Kiingereza: Commonwealth) kwa asili ya neno ni eneo la nchi lililotengwa kwa ajili ya utawala ndani ya dola fulani. Baadaye hutumiwa pia kwa muungano wa nchi kwa ajili ya malengo zilizo nayo pamoja.

Mifano Edit

Baadhi ya mifano ya jumuiya ni:


Marekani Edit

Nchini Marekani majimbo manne tu huitwa Commonwealth:

  1. Commonwealth of Kentucky
  2. Commonwealth of Massachusetts
  3. Commonwealth of Pennsylvania
  4. Commonwealth of Virginia