Abigail Adams

Mke wa Rais wa pili wa Marekani (1797-1801)

Abigail Adams (alijulikana pia kama Smith; Novemba 22, 1744 - Oktoba 28, 1818) alikuwa mke na mshauri wa karibu zaidi wa John Adams, na pia alikuwa mama wa John Quincy Adams.[1]

Benjamin Blyth, 1766
Benjamin Blyth, 1766

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abigail Adams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.