John Quincy Adams (11 Julai 176723 Februari 1848) alikuwa Rais wa sita wa Marekani kuanzia mwaka wa 1825 hadi 1829. Alikuwa mwana wa John Adams, Rais wa pili. Kaimu Rais wake alikuwa John C. Calhoun.

John Quincy Adams


Muda wa Utawala
Machi 4, 1825 – Machi 4, 1829
Makamu wa Rais John C. Calhoun
mtangulizi James Monroe
aliyemfuata Andrew Jackson

tarehe ya kuzaliwa (1767-07-11)Julai 11, 1767
Braintree, Massachusetts, British America
(sasa Quincy, Massachusetts, Marekani)
tarehe ya kufa 23 Februari 1848 (umri 80)
Washington, D.C., Marekani
mahali pa kuzikiwa United First Parish Church
chama Federalist (1792–1808)
Democratic-Republican (1809–1828)
National Republican (1828–1830)
Anti-Masonic (1830–1834)
Whig (1834–1848)
watoto 4
mhitimu wa Harvard University
(Bachelor of Arts, Master of Arts)
signature

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

}}

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Quincy Adams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.