Abiodun Akande (alizaliwa 10 Desemba 1993 huko Ibadan, Jimbo la Oyo) ni kipa wa kandanda kutoka Nigeria ambaye anachezea klabu ya Plateau United. [1] Amewahi kuzichezea klabu kama Shooting Stars F.C., Sunshine Stars F.C., Rivers United.Pia Mnamo mwaka 2021, Akande alianza kuichezea klabu ya Plateau United hadi sasa.

Kazi hariri

Abiodun Akande alianza taaluma yake akiwa na klabu ya Shooting Stars F.C. katika msimu wa 2010.

Kimataifa hariri

Akande Amechezea Klabu za ligi kama Nigeria U-17, Nigeria U-20 na Nigeria U-23.

Marejeo hariri

Viungo Vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abiodun Akande kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.