10 Desemba

tarehe
Nov - Desemba - Jan
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 10 Desemba ni siku ya 344 ya mwaka (ya 345 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 21.

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya Bikira Maria wa Loreto, na za watakatifu Eulalia wa Merida, Mauro wa Roma, Didimo wa Ankara, Papa Gregori III, Edmundi Gennings, Swithun Wells, Polidori Plasden, Eustasi White, Yohane Roberts n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 10 Desemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.