Adam Cohen
Adam Cohen (alizaliwa 18 Septemba, 1972) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Kanada. Kama msanii wa kurekodi, ametoa albamu nne kubwa chini ya lebo, tatu kwa Kiingereza na moja kwa Kifaransa. Albamu yake 'We Go Home' ilitolewa 15 Septemba, 2014. Kwa sasa anaishi Los Angeles na pia ni sehemu ya bendi ya 'pop rock' na 'Low Millions' kutoka California.[1][2][3][4]
Marejeo
hariri- ↑ Farber, Jim. "Birth of a ladies' man: Singer-songwriter Adam Cohen is proud to be a chip off the old block", January 1, 2005, p. 16.
- ↑ Kelly, Brendan. "Adam Cohen following in famous father's footsteps", CanWest News Service, May 2, 2004, p. 1.
- ↑ Takiff, Jonathan. "Versatile Adam Cohen readies albums: One, in his name, will be in French; the other is called 'Ex-Girlfriends'", September 2, 2004, p. 69.
- ↑ BBC Radio 4, Midweek, January 28, 2015, interviewed by Libby Purves
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adam Cohen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |