Adriana Achcińska
Adriana Achcińska (alizaliwa 22 Aprili 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Poland ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya wanawake ya Ekstraliga UKS SMS Łódź na timu ya taifa ya wanawake ya Poland.[1]
Adriana Achcińska
Jinsia | female ![]() |
---|---|
Nchi ya uraia | Poland ![]() |
Jina halisi | Adriana ![]() |
Tarehe ya Kuzaliwa | 22 Aprili 2002 ![]() |
Mahali alipozaliwa | Lubań ![]() |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kipoland ![]() |
Kazi | association football player ![]() |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Kiungo ![]() |
Mchezo | Mpira wa miguu ![]() |
Marejeo Edit
- ↑ Adrianna Achcińska (pl). Iliwekwa mnamo 16 April 2020.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adriana Achcińska kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |