Adrienne Arsht (alizaliwa Februari 4, 1942) ni mfanyabiashara na mwanahisani wa Kimarekani.

Adrienne Arsht
Adrienne Arsht
Adrienne Arsht
Alizaliwa Februari 4
Nchi Marekani
Kazi yake mfanyabiashara

Maisha Binafsi

hariri

Arsht alizaliwa katika familia ya Kiyahudi [1]huko Wilmington, Delaware, binti ya Samuel Arsht, wakili wa Wilmington, na Roxana Cannon Arsht, jaji wa kwanza wa kike katika Jimbo la Delaware.[2]

Marejeo

hariri
  1. Freer, Jim (2007-07-11). "TotalBank to be sold to Spanish bank". South Florida Business Journal. Iliwekwa mnamo 2015-03-23.
  2. Bjork, Christopher (2007-07-11). "Spain's Banco Popular to buy U.S. TotalBank for $300 mln". MarketWatch. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Desemba 2009. Iliwekwa mnamo 2009-12-06.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)