AfroBasket 2013 ni mashindano yaliyolenga kuwapata mabingwa watakao fuzu kwaajili ya ubingwa wa FIBA 2013. Timu za mpira wa kikapu zilishindana na timu nyingine kutoka katika kanda husika kwaajili ya mashindano ya ubingwa.

Timu zilizofuzu

hariri

Timu iliyofuzu kama mwenyeji wa mashindano:

Waliofuzu nne bora katika ubingwa wa 2013 FIBA:

  • Angola
  • Nigeria
  • Tunisia

Waliofuzu kikanda:

  • Algeria
  • Burkina Faso
  • Cameroon
  • Cape Verde
  • Central African Republic
  • Congo
  • Egypt
  • Morocco
  • Mozambique
  • Senegal

Waliofuzu kuingia katika mashindano bila ya mchuano na timu pinzani:

  • Mali
  • Rwanda

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu AfroBasket 2013 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Jami:Mpira wa kikapu