Aggrey Morris

Mwanasoka wa Tanzania

Aggrey Morris (alizaliwa 12 Machi 1984 mjini Zanzibar, Tanzania) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Tanzania.

Aggrey Morris
Maelezo binafsi
tarehe ya kuzaliwa12 Machi 1984 (1984-03-12) (umri 40)
mahali pa kuzaliwaZanzibar, Tanzania
Youth career
Mafunzo
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
2003–2009Mafunzo
2009–Azam
Timu ya Taifa ya Kandanda
2009–2012Zanzibar12(2)
2010–Tanzania15(1)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only.
† Appearances (Goals).

Viungo vya nje hariri