Agnes Mathew Marwa

Mwanasiasa wa Tanzania

Agnes Mathew Marwa (alizaliwa 24 Desemba 1978 [1]) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha Mapinduzi CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [2]

Marejeo hariri

  1. https://peoplepill.com/people/agnes-marwa/
  2. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017