Agustina Albertarrio

Agustina Albertarrio (alizaliwa 1 Januari 1993) ni mchezaji wa mpira wa magongo kutoka Argentina. Anacheza kwenye timu ya taifa ya mpira wa magongo ya Argentina, alishinda medali ya fedha katika Michezo ya Olimpiki ya mwaka 2020. [1]

Agustina Albertario mnamo 2014
Agustina Albertario mnamo 2014

Tanbihi

hariri
  1. "Agustina ALBERTARRIO". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-11-30.

Marejeo

hariri
  • "Hockey ALBERTARRIO Agustina - Tokyo 2020 Olympics". .. Retrieved 2021-08-20.