Ahmed Zaoui

Mwanasiasa wa Algeria

Ahmed Zaoui (kwa Kiarabu: أحمد الزاوي; alizaliwa 26 Novemba 1961) ni mkimbizi wa Algeria.[1][2] Alifika New Zealand tarehe 4 Desemba 2002 ambapo alitafuta hadhi ya ukimbizi.Zaoui alipata vipingamizi kutoka katika huduma ya ujasusi ya usalama vilivoondolewa mnamo septemba 2007, na kumruhusu kusalia New Zealand[3].Alipewa uraia wa New Zealand mnamo 2014.

Marejeo

hariri
  1. Refugee Appeal No 74540 Archived 2006-10-13 at the Wayback Machine, Refugee Status Appeals Authority, page 34-35, 139, 171
  2. "Birthday marks Zaoui's long year behind bars". NZ Herald (kwa New Zealand English). 2023-10-04. Iliwekwa mnamo 2023-10-04.
  3. "Zaoui: I never lost my faith in New Zealand justice", The New Zealand Herald, 13 September 2007. Retrieved on 15 September 2011. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ahmed Zaoui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.