4 Desemba

tarehe
Nov - Desemba - Jan
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 4 Desemba ni siku ya 338 ya mwaka (ya 339 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 27.

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohane wa Damasko, Barbara wa Nikomedia, Erakla wa Aleksandria, Melesi wa Sanaklar, Felisi wa Bologna, Yohane Mtendamiujiza, Anoni wa Koln, Osmundi wa Salisbury, Bernadi wa Parma, Yohane Calabria n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 4 Desemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.