Aisha Masaka
Mwanasoka wa Tanzania
Aisha Khamis Masaka (alizaliwa 10 Novemba 2003)[1] ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akichezea klabu ya wanawake ya Brighton & Hove Albion, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL) na timu ya taifa ya Tanzania ya wanawake Twiga Stars.[2]
Aisha Khamis Masaka | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Tarehe ya kuzaliwa | 10 Novemba 2003 | |
Mahala pa kuzaliwa | Singida, Tanzania | |
Urefu | 1.80 m (5 ft 11 in) | |
Nafasi anayochezea | Mshambuliaji | |
Maelezo ya klabu | ||
Klabu ya sasa | Yanga SC Princess | |
Namba | 10 | |
Klabu za vijana | ||
Yanga SC Princess 2020- | ||
Timu ya taifa | ||
Twiga Stars | ||
* Magoli alioshinda |
Marejeo
hariri- ↑ "Aisha Masaka". LTA Agency (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-09-16.
- ↑ "Aisha Masaka - Soccer player profile & career statistics - Global Sports Archive". globalsportsarchive.com. Iliwekwa mnamo 2024-09-16.
Viungo vya Nje
hariri- Aisha Masaka, tovuti ya lta-agency.com
- Aisha Masaka, tovuti ya cafonline.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aisha Masaka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |