Aysharose Ndogholi Mattembe
mwanasiasa wa tanzania
(Elekezwa kutoka Aisharose Ndogholi Matembe)
Aysharose Ndogholi Mattembe ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
hariri- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |