Ajay Desai

Mhifadhi wa wanyamapori kutoka India (Uhindi)

Ajay Adrushyappa Desai (anajulikana kama Mtu wa Tembo, kwa Kiingereza: Elephant Man [1]; 24 Julai 1957 - 20 Novemba 2020) alikuwa mhifadhi na mwanabiolojia wa Shamba, mtafiti kutoka India, aliyebobea katika tabia ya tembo wa porini akilenga mizozo ya wanyamapori na makazi ya binadamu.

Ajay Desai akifuatilia kwa redio tembo mwitu huko Alur, Karnataka, India.

Marejeo hariri

  1. "Elephant expert Ajay Desai passes away at 63". The New Indian Express. Iliwekwa mnamo 21 November 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ajay Desai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.