Akhtala (kwa Kiarmenia: Ախթալա; pia umepewa jina la Kirumi kama Akht’ala na la Kirusi kama Nizhnyaya Akhtala) ni kijiji kilichopo katika Mkoa wa Lori huko nchini Armenia (idadi ya wakazi imekadiriwa kuwa 2,000). Ina sehemu za kuvutia za ngome za monasteri za karne ya 13.

Moja ya sehemu ya Akhtala.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Akhtala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.