Akissa Bahri

Mwanasiasa na mhandisi wa kilimo Tunisia

Akissa Bahri (Akiça Bahri) ni mhandisi wa kilimo wa Tunisia, profesa wa zamani katika Taasisi ya Taifa ya Kilimo ya Tunisia, na waziri wa kilimo wa sasa wa Tunisia. Alikuwa Mkurugenzi wa Afrika katika Taasisi ya Kimataifa ya Usimamizi wa Maji (2005-2010), Mratibu wa Mfumo wa Maji ya Afrika katika Benki ya Maendeleo ya Afrika (2010-2015), na Mkurugenzi wa Utafiti katika Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Uhandisi wa Kilimo, Maji, na Misitu (INRGREF) huko Tunis, Tunisia (2016-2017).. [1] [2] [3]

Bahri mnamo 2018

Marejeo hariri

  1. "Welcome Akiça Bahri and Guy Midgley to the JRS Biodiversity Foundation Board of Trustees". JRS Biodiversity Foundation (kwa en-US). 14 January 2019. Iliwekwa mnamo 11 February 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Akissa Bahri". International Water Association (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 11 February 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Curriculum Vitae, Akissa Bahri". twas.org. Iliwekwa mnamo 11 February 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Akissa Bahri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.