Aksaray ni mji uliopo Anatolia ya Kati nchini Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Aksaray.

Aksaray kama jinsi inavyoonekana katika eneo lenye rangi ya njano.
Aksaray

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, idadi ya wakazi waishio katika wilaya hiyo ni 236,560 ambao wengine 129,949 wanaishi katika mji wa Aksaray.[1][2]

Wilaya imechukua eneo la km 4,589 (na 1,772 sq mi),[3] na wastani wa mapolomoko ni m 980 (na ft 3,215), na kilele kirefu cha Mlima Hasan mnamo 3,253 m (na ft 10,673).

Marejeo hariri

  1. Taasisi ya Takwimu ya Watu ya Uturuki. "Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey" (XLS) (kwa Turkish). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-07-22. Iliwekwa mnamo 2008-04-02. 
  2. GeoHive. "Statistical information on Turkey's administrative units". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-18. Iliwekwa mnamo 2008-04-02. 
  3. Statoids. "Statistical information on districts of Turkey". Iliwekwa mnamo 2008-04-12. 

Maelezo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aksaray kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.