Albert Claude

Tuzo Nobel.png

Albert Claude (24 Agosti 189822 Mei 1983) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ubelgiji, na pia alikuwa na uraia wa Marekani tangu 1941. Hasa alichunguza vipengele mbalimbali vya chembe hai. Mwaka wa 1974, pamoja na George Palade na Christian de Duve alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Albert Claude
Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Albert Claude kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu.