Albert Ntabaliba Obama

Albert Ntabaliba Obama ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Buhigwe kwa miaka 20152020. [1], mwaka 2010-2012 alikuwa mwanachama wa kamati ya huduma za jamii za bunge. [2]

MarejeoEdit

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-01-25. Iliwekwa mnamo 2020-01-25.