Alberto Vassallo-Torregrossa

Alberto Vassallo di Torregrossa (San Cataldo, Sicilia, 28 Desemba 1865 - San Cataldo, 7 Septemba 1959) alikuwa Askofu wa Italia na mwanadiplomasia wa Kanisa Katoliki. Alikuwa Balozi wa Kitume wa mwisho huko Munich, Bavaria.[1]

Marejeo

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.