Alessandro Sibilio

Alessandro Sibilio (alizaliwa 27 Aprili 1999) ni mwanariadha nchini Italia wa mbio za kuruka viunzi na mkimbiaji, ambaye hushiriki katika mbio za mita 400 kuruka viunzi na mita 400. Alishinda medali ya dhahabu katika mashindano ya dunia ya U20 ya IAAF mwaka 2018. Alishiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2020, kuruka viunzi mita 400.[1]

Alessandro Sibilio

Marejeo

hariri
  1. "Alessandro Sibilio".
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alessandro Sibilio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.