Alessia Pavese
Alessia Pavese (alizaliwa 15 Julai 1998) ni mwanariadha wa Italia alishinda medali ya shaba katika Mashindano ya riadha ya Uropa ya mwaka 2022 akiwa na timu ya kupokezana vijiti. [1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alessia Pavese kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |