15 Julai

tarehe
Jun - Julai - Ago
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 15 Julai ni siku ya 196 ya mwaka (ya 197 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 169.

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Bonaventura wa Bagnoregio, Eutropi, Zosima na Bonosa, Felisi wa Thibiuca, Katulino na wenzake, Filipo na watoto kumi, Abumedi, Yakobo wa Nisibi, Yosefu wa Thesalonike, Atanasi wa Napoli, Vladimir wa Kiev, Pompili Maria Pirrotti, Petro Nguyen Ba Tuan, Andrea Nguyen Kim Thong n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 15 Julai kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.