Alex Raphael Gashaza ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Ngara kwa miaka 20152020. [1] Miaka 2015-2018 alikuwa mwanachama wa kamati ya mahesabu ya serikali za mitaa.[2]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-01-25. Iliwekwa mnamo 2020-01-25.