Alex Greenwood

Wachezaji mpira wa Uingereza

[[Picha:

Alex Greenwood
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi ya uraiaUfalme wa Muungano Hariri
Nchi anayoitumikiaUingereza Hariri
Jina katika lugha mamaAlex Greenwood Hariri
Jina halisiAlex Hariri
Jina la familiaGreenwood Hariri
Tarehe ya kuzaliwa7 Septemba 1993 Hariri
Mahali alipozaliwaLiverpool Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuBeki, fullback Hariri
AlisomaSavio Salesian College Hariri
Muda wa kazi2010 Hariri
Mchezompira wa miguu Hariri
Ameshiriki2019 FIFA Women's World Cup Hariri

-387_(46934118902)_(cropped).jpg|thumbnail|right|280px|Alex Greenwood]] Alex Greenwood (alizaliwa 7 Septemba 1993) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza katika klabu ya Manchester United, ambapo ni nahodha wa klabu hiyo na timu ya taifa ya Uingereza. Anacheza kama beki wa kushoto, anaweza pia kucheza kama beki wa kati.

Kazi ya klabi

hariri

Alianza kucheza katika klabu ya Liverpool, Notts County na klabu ya Everton.

Kazi ya kimataifa

hariri

Greenwood ameichezea timu ya taifa ya soka ya England mwaka 2014 na aliitwa katika kikosi kilichocheza timu ya wanawake ligi ya FA Mwaka 2012.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alex Greenwood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.