Alex Haley


Alex Palmer Haley (11 Agosti 192110 Februari 1992) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa riwaya yake Roots ("Mizizi") inayosimulia historia ya vizazi vya Waafrika waliofungwa utumwani na kupelekwa Marekani. Mwaka wa 1977, alipokea tuzo maalumu ya Pulitzer upande wa bunilizi.

Alex Haley

Amezaliwa 11 Agosti 1921
New York, Marekani
Amekufa 10 Februari 1992
Seattle, Marekani
Nchi Marekani
Kazi yake Mwandishi
Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alex Haley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.