Alex Lopez
Alexandra Lopez, maarufu kama Alex Lopez Ni mwigizaji wa kike wa nchini Brazili mwenye asili ya Nigeria na aliyekuwa mwanamitindo, alikuwa maarufu kwa uhusika wake katika filamu ya Domitila 2. Mnamo mwaka 1993, Lopez alishika nafasi ya pili katika mashindano ya urembo Nigeria.
Alexandra Lopez | |
---|---|
Amezaliwa | jimbo la Anambra, Nigeria |
Kazi yake | Muigizaji, mwanamitindo |
Maisha ya Awali.
haririLopez alizaliwa Jos na alipata mafunzo katika mji wa Obosi, jimbo la Anambra lililopo kusini mashariki mwa Nigeria.Pia ni mtoto wa pili katika familia ya wasichana watano na mvulana mmoja.[1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alex Lopez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |