Alex Oxlade-Chamberlain
Wachezaji mpira wa Uingereza
Alexander Oxlade-Chamberlain (alizaliwa 15 Agosti 1993) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Liverpool FC na timu ya taifa ya Uingereza.
Alex Oxlade-Chamberlain
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Ufalme wa Muungano |
Nchi anayoitumikia | Uingereza |
Jina katika lugha mama | Alex Oxlade-Chamberlain |
Jina la kuzaliwa | Alexander Mark David Oxlade-Chamberlain |
Jina halisi | Alex |
Jina la familia | Oxlade-Chamberlain |
Tarehe ya kuzaliwa | 15 Agosti 1993 |
Mahali alipozaliwa | Portsmouth |
Baba | Mark Chamberlain |
Ndugu | Christian Oxlade-Chamberlain |
Mchumba | Perrie Edwards |
Mtoto | Axel Oxlade-Chamberlain |
Lugha ya asili | Kiingereza |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Kiungo |
Alisoma | St John's College |
Muda wa kazi | 2010 |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 15 |
Ameshiriki | UEFA Euro 2012, 2014 FIFA World Cup |
Ligi | English Football League, Ligi Kuu Uingereza, Süper Lig |
Tovuti | http://alexoxladechamberlain.com/ |
Baada ya kuongezeka kwa umaarufu katika timu yake ya Southampton wakati wa msimu wa 2010-11 akiwa umri wa miaka 17, alisainiwa Arsenal mnamo Agosti 2011. Alifunga mabao mawili katika mechi zake tatu za kwanza za klabu, Oxlade-Chamberlain akawa mchezaji mdogo zaidi wa Uingereza katika historia ya UEFA Champions League.
Alicheza misimu sita katika uwanja wa Emirates, alicheza michezo 198 na akafunga mabao 80, Alishinda Kombe la FA mara tatu. Na baadae Alisainiwa na Liverpool mwezi Agosti 2017.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alex Oxlade-Chamberlain kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |