Alexander Oluwatayo Akande (anajulikana zaidi kama Alex Akande au Alex Tayo Akande, kwa Kichina: 艾力士; alizaliwa 9 Februari 1989) ni mchezaji wa kandanda mzaliwa wa Nigeria akiishi Hong Kong ambaye kwa sasa anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Ligi Kuu ya Hong Kong.

Alexander Oluwatayo Akande

Ushiriki Katika Klabu

hariri

Advance Tai Chung na Eastern F.C

Akande aliwasili Hong Kong mwaka wa 2008 na kuichezea klabu ya Tai Chung katika ligi ya daraja la pili ya Hong Kong.

Ushiriki Kimataifa

hariri

Akande alizaliwa Nigeria, lakini baada ya kuishi kwa zaidi ya miaka saba Hong Kong, alipata wadhifa wa kuwa mzawa wa Hong Kong na akastahili kuchezea timu ya taifa ya Hong Kong mnamo Oktoba 2015. [1]

Takwimu za Ushiriki

hariri

Takwimu sahihi kufikia mechi iliyochezwa tarehe 31 Desemba 2020. [2]

Marejeo

hariri
  1. "NIGERIA'S ALEX AKANDE SET TO OBTAIN HONG KONG PASSPORT". 
  2. "ALEXANDER OLUWATAYO AKANDE". soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2019-12-31.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alex Tayo Akande kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.