Alexandra Popp
Mchezaji wa chama cha soka cha Ujerumani
Alexandra Popp (alizaliwa 6 Aprili 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya VfL Wolfsburg na timu ya taifa ya wanawake ya nchini Ujerumani. Hivi karibuni alicheza katika klabu ya FCR 2001 Duisburg na FFC Recklinghausen. Popp aliitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya wanawake ya Ujerumani mara mbili, mwaka 2014 na 2016 na Februari 2019 alichaguliwa kuwa nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya Ujerumani.[1]
Alexandra Popp
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Ujerumani |
Nchi anayoitumikia | Ujerumani |
Jina halisi | Alexandra |
Jina la familia | Popp |
Tarehe ya kuzaliwa | 6 Aprili 1991 |
Birthday | 6 Aprili |
Mahali alipozaliwa | Witten |
Lugha ya asili | Kijerumani |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kijerumani |
Kazi | association football player, zookeeper |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Forward (association football) |
Muda wa kazi | 2007 |
Mwanachama wa timu ya michezo | VfL Wolfsburg |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 25 |
Ameshiriki | football at the 2016 Summer Olympics, 2019 FIFA Women's World Cup, UEFA Women's Euro 2022 |
Tuzo iliyopokelewa | Order of Merit of North Rhine-Westphalia |
Marejeo
hariri- ↑ "Alexandra Popp" (kwa Kijerumani). DFB.de. Iliwekwa mnamo 23 Juni 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alexandra Popp kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |