Alexei Anatolievich Navalny (kwa Kirusi: Алексе́й Анато́льевич Нава́льный; 4 Juni 1976 - 16 Februari 2024) alikuwa mwanasiasa wa Urusi na mwanaharakati wa kupambana na ufisadi. Kwa ajili hiyo alifungwa na hatimaye kufariki dunia.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alexei Navalny kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.