Alfonsina Storni Martignoni (Capriasca, Uswisi, 29 Mei 1892 - Mar del Plata, Argentina, 25 Oktoba 1938) alikuwa mwandishi na mshairi wa Argentina mwenye asili ya Uswisi.[1]

Alfonsina Storni
Alfonsina Storni, 1916
Alfonsina Storni, 1916
Alizaliwa 29 Mei 1892
Alikufa 25 Oktoba 1938
Nchi Argentina

Vitabu hariri

  • 1916 - La inquietud del rosal
  • 1918 - El dulce daño
  • 1919 - Irremediablemente
  • 1920 - Languidez
  • 1925 - Ocre
  • 1926 - Poemas de amor
  • 1934 - Mundo de siete pozos
  • 1938 - Mascarilla y trébol
  • 1938 - Antología poética
  • 1968 - Poesías completas

Marejeo hariri

  1. https://cvc.cervantes.es/actcult/storni/default.htm
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfonsina Storni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.