Alfred Dan Moussa
Alfred Dan Moussa alizaliwa mwaka 1955 ni mwandishi wa habari wa Ivory coast [1]Kuanzia Agosti 2008, Dan Moussa ndiye rais wa International Francophone Press Union.[2]
Alfred Dan Moussa | |
[[Image:|225px|alt=]] | |
Amezaliwa | Alfred Dan Moussa alizaliwa mwaka 1955 |
---|---|
Nchi | Ivory coast |
Kazi yake | mwandishi wa habari wa Ivory coast |
Cheo | rais wa International Francophone Press Union |
Kipindi | Agosti 2008 |
Alipata cheo hicho mwaka 2007[3] akipokea cheo hichi kutoka kwa Hervé Bourges,[4]
Marejeo
hariri- ↑ "Alfred Dan Moussa (Cote d' Ivoire)". African Development Information Services. 2007-08-03. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-07. Iliwekwa mnamo 2008-09-03.
- ↑ Ouédraogo, Alexise Evelyne. "Côte d`Ivoire: Lancement du prix Alfred Dan Moussa de la presse en ligne pour la paix et l’intégration africaine", Gabonews.ga, 2008-08-12. Retrieved on 2008-09-03. (French) Archived from the original on 2008-08-22.
- ↑ "Alfred Dan Moussa". Who's Who From Côte d'Ivoire. African Development Information Services. 2007-08-03. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-07. Iliwekwa mnamo 2008-08-28.
- ↑ Koutouan, Hervé. "Côte d'Ivoire: Union internationale de la presse francophone - Hervé Bourges annonce son successeur", Fraternité Matin (reproduced by allAfrica.com), 2007-12-03. Retrieved on 2008-08-29. (French)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alfred Dan Moussa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |