Alfred Werner (12 Desemba 186615 Novemba 1919) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uswisi. Pamoja na utafiti mwingine alichunguza elementi ya naitrojeni. Mwaka wa 1913 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Alfred Werner
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfred Werner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.