Algeria kwenye Michezo ya Ufukweni ya Afrika ya 2019

Tukio la kimchezo Lenye ujumbe

Algeria ilishindana katika Michezo ya Ufukweni ya Afrika huko Sal, Cape Verde kutoka 14 hadi 23 Juni 2019. Kwa jumla wanariadha wanaoiwakilisha Algeria walipata medali tano za dhahabu, medali sita za fedha na medali tano za shaba. [1] Nchi ilimaliza katika nafasi ya 2 kwenye jedwali la medali. [1]

Bendera ya Algeria

Muhtasari wa medali hariri

Medali kwa michezo
Michezo 1 2 3 Jumla
3 × 3 mpira wa kikapu 0 1 0 1
Riadha 1 0 0 1
Mpira wa mikono ufukweni 0 0 1 1
Soka ya ufukweni 0 1 0 1
Upigaji makasia ufukweni 2 1 0 3
Mtindo huru wa soka 0 1 1 2
Katate 1 2 1 4
Kitesurfing 0 0 1 1
Kuogelea kwa maji wazi 1 0 1 2

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 "Results". 2019 African Games Beach. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-20. Iliwekwa mnamo 4 February 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)