Aliénor Rougeot
Mwanaharakati wa mabadiliko ya hali ya hewa Kanada
Aliénor Rougeot (alizaliwa Januari 1999) [1] ni mwanaharakati wa haki za hali ya hewa nchini Kanada pamoja na Ufaransa. [2][3][4][5]Rougeot alikua maarufu nchini Kanada kama mratibu wa Mgomo wa haki za Hali ya hewa. Aliénor ni kiongozi wa harakati ya Fridays for Future Strikes ya Toronto. Harakati iliyojihusisha sana na wanafunzi na hufanyika siku ya Ijumaa na kufanya wanafunzi kukosa shule siku hiyo na kuhudhuria elimu ya ufahamu wa mabadiliko ya hali ya hewa. Mnamo mwaka 2019 aliongoza mgomo wa shule wa Fridays for Future Strikes huko Toronto ambao ulihusisha zaidi ya watu 50,000.[6]
Aliénor Rougeot | |
---|---|
| |
Alizaliwa | Januari 1999 |
Kazi yake | mwanaharakati wa haki za hali ya hewa nchini Kanada |
Marejeo
hariri- ↑ "Meet the youth at the forefront of Canada's Fridays for Future movement". Ecojustice. 24 Aprili 2019. Iliwekwa mnamo 20 Mei 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ ICI.Radio-Canada.ca, Zone Politique-. "Les Français au Canada votent pour choisir leur président de la République | Présidentielle française 2022". Radio-Canada.ca (kwa Kifaransa (Canada)). Iliwekwa mnamo 2022-04-10.
- ↑ CBC. "'The world is so unsafe': Environmental activists pledge not to have kids", Canadian Broadcasting Company, Sep 16, 2019.
- ↑ Somos, Christy (2019-09-20). "Meet the activist leading Ontario's youth climate strike movement". CTVNews (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-01-13.
- ↑ Emily Chan (2019-04-24). "Meet the youth at the forefront of Canada's Fridays for Future movement". Ecojustice (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-01-13.
- ↑ February 8th 2021, Patricia Lane | Opinion | (2021-02-08). "How this young activist rallied Toronto students to strike against climate change". National Observer (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-03-05.
{{cite web}}
: CS1 maint: numeric names: authors list (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aliénor Rougeot kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |