Ali Bunow Korane ni gavana wa zamani katika Kaunti ya Garissa, Kenya. Alichukua wadhifa huo mnamo Agosti 2017 kama gavana wa pili wa garissa baada ya jenerali mnamo 2017. [1][2]

Marejeo

hariri
  1. "Horn of Africa partners". Conciliation Resources (kwa Kiingereza). 2015-08-06. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-14. Iliwekwa mnamo 2021-07-14.
  2. Kwach, Julie (2020-07-31). "Counties in Kenya: their governors and headquarters". Tuko.co.ke - Kenya news. (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-07-14.