Ali Salim Khamis
Ally Salim Khamis (alizaliwa 30 machi 1976) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Wananchi (CUF). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mwanakwerekwe kwa miaka 2015 – 2020.[1] [2]
Marejeo
haririMakala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |