Alingsås ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 22,919 (mwaka 2005).

Drottninggatan (Ndia ya Malkia) katika Alingsås

Jiografia hariri

Eneo lake ni 11.68 km². Umbali na Jiji la Göteborg ni 41 km.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Alingsås kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.