Göteborg

Göteborg, Uswidi
Göteborg in Sweden.png


Mahali pa Göteborg katika Uswidi

Eneo
 - Mji
 - Mkoa wa Jiji

198.16 km²
450 km²
Wakazi
(2006-01-01)
 - Mji
 - Mkoa wa Jiji
 - Msongamano (mji/jiji)


507,330
917,984
1,127.4/km² / 247/km²
Kanda la wakati Ulaya ya Kati: UTC+1
Latitudo
Longitudo
57°42' N
11°58' E

Göteborg ni mji mkubwa wa pili nchini Uswidi upande wa magharibi ya nchi. Idadi ya wakazi ni 507,330. Mji uliundwa mwaka 1621.

JiografiaEdit

Eneo lake ni 198.16 km². Mji uko pande zote mbili za mto Göta

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Göteborg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.